HAWA NDIO WACHEZAJI WALIOSAJILIWA YANGA DIRISHA DOGO

Waliosajiliwa Yanga dirisha dogo 2017 hawa hapa

Klabu bingwa Tanzania Yanga wakati huu wa dirisha dogo imeishia kusajili wachezaji wawili Beki mkongo Fiston Kayembe na Kinda aliyepitia timu ya taifa ya vijana chini ya Miaka 17 Serengeti Boys Yohanna Mkomola.

Kupitia mtandao wa Binzubeiry umeandika kuwa Yanga wamesajili wachezaji hao wakati huu wa dirisha dogo huku wapinzani wao Simba wakisajili wachezaji watatu wote wa Kimataifa Jonas Sakuwaha, Asante Kwasi na Antonio Dayo Domingues tokea Msumbiji.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.