Kocha huyo raia Zambia, ameamua kukipumzisha kikosi chake baada ya mazoezi mfululizo.
Baada ya siku moja ya kupumzisha kikosi chake, Yanga itarejea kazini tena kesho kuendelea kujifua.
Katika kipindi hiki timu hizi zimekuwa zikifanya mazoezi huku zikisubiri kuanza tena kwa Ligi Kuu Bara.