Yanga na Ngoma waliingia katika mgogoro mkubwa uliosababisha kutaka kuvunja mkataba wake.
Klabu ya Yanga ilitaka kukaa meza moja na Donard Ngoma ili kuvunja mkataba wake kutokana na kuwa msumbufu mara kwa mara katika klabu hiyo.
Ngoma jana amejiunga na programu ya mazoezi ya Mwalimu George Lwadamina ambapo ameanza na mazoezi ya gym.