Breaking News: MBUNGE WA CHADEMA GODWIN MOLELI AJIUZURU UBUNGE NA KUJIVUA UANACHAMA
0MASENGWADecember 14, 2017
Mbunge wa jimbo la siha mkoani Kilimanjaro kupitia chama cha demokraisia na Maendeeleo Chadema Dkt Godwin Oloyce Moleli ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho.